Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Okotoba 30, 2018
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wake (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally, baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Okotoba 30, 2018
 
Mwenyekiti
 wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu
 wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu
 ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es 
salaam leo Okotoba 30, 2018. 
Kati
 yao ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Spika wa 
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
  






No comments:
Post a Comment