Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini, Peter Msigwa, amepigwa marufuku na jeshi la polisi mkoani humo kuendelea na mikutano yake ya hadhara ya kuzungumza na wananchi iliyoanza jana kwa kile ambacho polisi wamedai kuwa mkutano wake alioufanya jana eneo la Kihesa uliambatana na lugha za matusi na uchochezi kinyume na lengo ambalo alilitaarifu jeshi hilo kwamba anakwenda kufanya mikutano ya kuhamasisha maendeleo, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Mch. Peter Msigwa apigwa marufuku kufanya mikutano jimboni kwake
Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini, Peter Msigwa, amepigwa marufuku na jeshi la polisi mkoani humo kuendelea na mikutano yake ya hadhara ya kuzungumza na wananchi iliyoanza jana kwa kile ambacho polisi wamedai kuwa mkutano wake alioufanya jana eneo la Kihesa uliambatana na lugha za matusi na uchochezi kinyume na lengo ambalo alilitaarifu jeshi hilo kwamba anakwenda kufanya mikutano ya kuhamasisha maendeleo, kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Deals With Music and Life Style.
No comments:
Post a Comment