Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
 waandamizi wa serikali wanaosimamia utekelezaji wa mradi wa kufua umeme
 katika Mto Rufiji wa Stiegler’s Gorge wakisimama kwa dakika kadhaa 
kuwakumbuka marehemu waliopoteza masiha kwenye ajali ya kivuko cha MV 
Nyerere huko Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza majuzi. 
Hii ilikuwa ni kabla ya kuanza kwa kikao kazi ambapo alipokea taarifa ya maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 24, 2018.
 
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
 viongozi waandamizi wa serikali wanaosimamia utekelezaji wa mradi wa 
kufua umeme katika Mto Rufiji wa Stiegler’s Gorge pamoja na wataalamu 
wakati wa  kikao kazi ambapo alipokea taarifa ya maendeleo ya 
utekelezaji wa mradi huo Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 24, 
2018. 






No comments:
Post a Comment