
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikiliwa mwanafunzi anayetuhumiwa kumuua mwenzake mwenye umri wa miaka kumi na tisa wote wakiwa wanasoma Shule ya Sekondari Mteule akituhumiwa kumchoma kisu sehemu kifuani wakiwa kwenye kigodoro.
Kamanda
 wa Polisi Mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa amemtaja aliyeuawa ni 
Abdulrahiman Daud aliyeshambuliwa kwa kile kinachodaiwa ugomvi wa 
kugombea mwanamke.
==>>Msikilize Kamanda Mutafungwa akiongea hapo chini.. BOFYA HAPA 






No comments:
Post a Comment