CHAMA
 cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kiasi cha Sh. 10 milioni kwa ajili ya 
kusaidia wahanga wa ajali ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba 
2018.
Fedha
 hizo zimekabidhiwa kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, 
Mhandisi, Isaack Kamwele na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey
 Polepole.
Makabidhiano
 hayo yalifanyika  katika kijiji cha Bwisya kisiwani Ukara, Septemba 24,
 2018 na kushuhudiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.






No comments:
Post a Comment