Wakazi Mtaa wa Majengo Kahama waiomba serikali kuimarisha mitaro ya maji kukinga nyumba zao kuharibiwa

Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Majengo katika Halmashauri ya Mji wa Kahama wameiomba halmashauri hiyo kujenga na kuiimarisha mitaro ya maji katika barabara zote za mitaa ili kuzuia maji ya mvua yasielekee kwenye makazi ya watu. Wakizungumza leo kwenye kipindi cha Raha ya...
Share:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga lakamata wawili kwa kujifanya Usalama wa Taifa

Jeshi la polisi Mkoa wa SHINYANGA linawashilikia watu wawili GOGADI SULEIMAN (62) na KILIMA MBWILIZA (49) kwa tuhuma ya kujifanya watumishi wa umma katika idara ya usalama wa taifa na kuwakuta na baadhi ya vitambulisho bandia vya usalama wa taifa. Kamanda wa Polisi Mkoa...
Share:

Meli mbili za Mv Nyakibare na Orion II, zawasili kukinasua kivuko Mv Nyerere kisiwani Ukara

Mitambo na vifaa maalum vya kunyanyua, kubeba na kuvuta vitu vizito imewasili katika gati ya Bwisya kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe tayari kufanya kazi ya kunyanyua na kugeuza kivuko cha Mv Nyerere kilichopinduka katika ziwa Victoria. Mpaka kufikia jana wataalam...
Share:

Waziri Lugola Afuta Utaratibu Wa Utoaji Vibali Kwa Wananchi Wanaolima Jirani Na Kambi Za Wakimbizi Nchini

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka wananchi wa Kakonko wanaolima jirani na Kambi ya Wakimbizi ya Mtendeli, pamoja na kambi zingine zote zilizopo mkoani Kigoma waendelee kulima bila kuomba kibali chochote kama ilivyoagizwa awali. Waziri Lugola...
Share:

Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Susan Kolimba

...
Share:

Serikali Kuendelea Kushirikiana Na Wadau Kuboresha Elimu Nchini.

  Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo nchini ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata elimu bora. Hayo yameelezwa leo Jijini Dodoma na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako alipokuwa akifungua Mkutano...
Share:

KCB Bank wachangia Mil 125 maafa ya ajali ya Mv Nyerere

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa KCB Bank Group, wameungana na waombolezaji wa msiba uliotokana na kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere kwa kuchangia kiasi cha fedha taslim shilingi 125,000,000/= Akikabidhi msaada huo wa fedha Mkurugenzi wa Bodi ya KCB,...
Share:

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi astaafu utumishi wa umma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amewataka watumishi wa wizara hiyo kufanyakazi kwa weledi ili kuogeza tija kwa Taifa. Katibu mkuu huyo ametoa rai hiyo leo, Septemba 25, 2018 alipokuwa akiwaaga watumishi wa wizara baada...
Share:

Kiswahili Kuwa Lugha Kuu Ya Mawasiliano Barani Afrika

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amebainisha kuwa lugha ya Kiswahili inatarajiwa kuwa lugha kuu ya mawasiliano katika bara la Afrika ifikapo mwaka 2063. Waziri Mwakyembe ameyasema hayo jana Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza...
Share:

Waziri: “Sehemu Pekee Ya Vijana Kuimarisha Kipato Ni Kupitia Sekta Ya Kilimo”

Imeelezwa kuwa sehemu pekee ya kuimarisha kilimo cha mwananchi mmoja mmoja, wananchi katika makundi ya kijamii hususani vijana ni kupitia sekta ya kilimo kwani ndio sehemu pekee ya ukombozi wa mkulima katika jamii. Imeelezwa kuwa kuna uwezekano wa kufanya biashara...
Share:

TCU Yasitisha Udahili wa Wanafunzi Kwa Vyuo 7.....Viwili Vyafungiwa

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha masomo na udahili wa wanafunzi wapya kwa ngazi zote za masomo na katika programu kwenye baadhi ya vyuo vikuu kutokana na kukosa vigezo. Pia imefuta vituo viwili vya vyuo vikuu na kuamuru wanafunzi wanaoendelea na masomo...
Share:

Kila Mfiwa Ajali ya MV Nyerere Kulipwa Milioni 1 Badala ya Laki 5

Rais John Magufuli ameagiza wafiwa wote waliopoteza ndugu zao kwenye ajali ya kivuko cha Mv Nyerere kupata Sh 1 milioni baada ya awali kupewa Sh 500,000 kila mmoja. Hata hivyo watu 41 walionusurika kwenye ajali hiyo nao watapewa Sh1 milioni kila mmoja. Fedha hizo...
Share:

Waziri Lugola Aibukia Kituo Cha Polisi Katoro, Awahoji Watuhumiwa Makosa Yao Wakiwa Wamepanga Foleni Mahabusu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Polisi Katoro mkoani Geita  na kuwahoji watuhumiwa wa makosa mbalimbali waliokuwepo katika mahabusu kituoni hapo. Lugola ambaye alikua safarini kuelekea Mkoani Kigoma...
Share:

CCM Yatoa Mil. 10 Kwa Ajili Ya Kusaidia Wahanga Wa Ajali Ya Mv Nyerere

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kiasi cha Sh. 10 milioni kwa ajili ya kusaidia wahanga wa ajali ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba 2018. Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isaack Kamwele na Katibu wa Itikadi...
Share:

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Salamu Za Rambirambi Kutoka Mataifa Mbalimbali Na Balozi Za Tanzania Nje Ya Nchi

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kupokea salamu za rambirambi kutoka kwa marais, mawaziri wakuu wa mataifa mbalimbali duniani kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, kufuatia...
Share:

Mwanafunzi Atiwa Mbaroni Kwa Kutupa Mtoto Chooni....Mwingine Akamatwa kwa Kumuua Ndugu yake kisa Redio

  JESHIi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanamke mmoja ambaye amefahamika kwa jina la INES MTUNDU [19] Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo kwa kosa la kumtupa chooni mtoto mchanga wa masaa kadhaa. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe 23.09.2018...
Share:

Tume Iliyoteuliwa na Waziri Mkuu Kufanya Uchunguzi Ajali ya MV Nyerere....Itaongozwa na Jenerali mstaafu, George Waitara

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza tume ya kuchunguza ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere, kilichozama Septemba 20 mwaka huu, Ukerewe jijini Mwanza na kusababisha vifo vya watu 224. Majaliwa ameitangaza tume hiyo ya wajumbe saba itakayoongozwa na Jenerali...
Share:

Polisi yaua Watuhumiwa Watatu Wakijaribu Kutoroka

Polisi wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, imewaua kwa kuwapiga risasi watu watatu wakati wakijaribu kutoroka wakiwa chini ya ulinzi.Tukio hilo lilitokea Septemba 20, mwaka huu saa 5 usiku katika Barabara ya Nkundi kuelekea Kijiji cha Kate, wilayani humo, baada ya watu hao waliokuwa...
Share:

Rais Magufuli Apokea Taarifa Ya Utekelezaji Wa Mradi Wa Kufua Umeme Wa Stiegler”s Gorge Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi waandamizi wa serikali wanaosimamia utekelezaji wa mradi wa kufua umeme katika Mto Rufiji wa Stiegler’s Gorge wakisimama kwa dakika kadhaa kuwakumbuka marehemu waliopoteza masiha kwenye ajali...
Share:

Updates: Idadi ya Waliofariki Dunia Baada ya Kivuko cha MV Nyerere Yafika 86

Zoezi  la ukoaji wa miili ya watu waliopoteza maisha katika Kivuko cha MV Nyerere limeanza rasmi baada ya kusimama jana usiku, ambapo Vikosi Maalum vya uokoaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Watanzania (JWTZ) na Jeshi la Zimamoto na uokoaji vinaendesha...
Share:

wanaotembeza chakula stendi ndogo kahama wapigwa stop

Halmashauri ya Mji wa Kahama imeshauriwa kuwadhibiti watu wanaotembeza chakula katika kituo kidogo cha mabasi Majengo ili kutoa fursa ya kupata wateja, kwa Mamalishe wanaouza chakula ndani ya jengo jipya la Mamalishe lililofunguliwa hivi karibuni katika kituo hicho. Wakizungumza...
Share:

Anthony Mavunde: Kilimo cha umwagiliaji kiwe kipaumbele kwa wakulima Halmashauri ya Mji Kahama

Halmashauri ya mji wa kahama mkoani Shinyanga imetakiwa kuwatengenezea miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji wakulima wake badala ya kuwapatia fedha katika vikundi ili kutengeneza kilimo chenye tija. Ushauri huo umetolewa na Naibu waziri wa kazi, vijana, ajira na ulemavu ATHONY...
Share:

Serikali yapiga MARUFUKU matangazo ya uzazi wa mpango

Serikali  imesitisha matangazo yanayohamasisha uzazi wa mpango yanayorushwa kwenye runinga na redio mbalimbali nchini mpaka itakapotangazwa tena. Sitisho hilo limetolewa katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...
Share:

Waziri Mkuu: Lishe Duni Na Ulaji Usiofaa Ni Adui Wa Maendeleo Nchini

MAGONJWA yasiyoambukiza yanachangia  kwa kiasi kikubwa katika kupunguza kasi ya maendeleo yetu kwani gharama za matibabu yake ni kubwa mno, si kwa kaya zinazoathirika tu bali kwa Taifa zima. Lishe duni pamoja na ulaji usiofaa na mitindo ya maisha vinachangia...
Share:

IDADI YA WASOMAJI

311654

TUSIKILIZE LIVE KUPITIA TUNEIN

UNGANA NASI FACEBOOK HAPA

10 ZILIZOSOMWA ZAIDI

Labels

Blog Archive