Mwigizaji 
 na mlimbwende  wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefikishwa 
katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018.
Wema
 amefikishwa mahakamani hapo saa 4 asubuhi na kupelekwa katika chumba 
cha mahabusu kusubiri kusomewa mashtaka ya usambazaji wa picha za 
faragha mtandaoni
Amefikishwa mahakamani hapo akisindikizwa na polisi huku akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi.
==>>Endelea kuwa nasi kwa habari zaidi 






No comments:
Post a Comment