Home »
Kitaifa
» Breaking News: Mahakama Yamwachia Huru Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Iringa imemuachia huru Mwenyekiti wa Mtandao wa
Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo leo Novemba, 5 baada ya upande wa Jamhuri
kushindwa kuthibitisha makosa mawili yaliyokuwa yanamkabili
Nondo
alikuwa anakabiliwa na mashtaka mawili; shitaka la kwanza ni kusambaza
taarifa za uongo akiwa jijini Dar es Salaam kuwa ametekwa na kosa la
pili ni kutoa taarifa za uongo akiwa mjini Mafinga kwa askari Polisi
kituo cha Mafinga Wilayani Mufindi.
Deals With Music and Life Style.
No comments:
Post a Comment