Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Ameitaka Mamlaka Ya Bandari Tanzania Kusitisha Mpango Wake Wa Kurasimisha Bandari Bubu

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kusitisha mpango wake wa kurasimisha bandari bubu zilizopo mkoa wa Dar es Salaam Hayo yameelezwa na Nditiye wakati wa ziara yake Wilayani Bagamoyo...
Share:

Kamishna wa zamani TRA Harry Kitilya na wenzake Kuendelea Kusota Rumande

Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wanaokabiliwa na kesi ya kutakatisha fedha wanaendelea kusota rumande kutokana na upelelezi wa kesi yao kutokamilika. Mbali na Kitilya ambaye pia Mwenyekiti wa Kampuni inayoshughulikia...
Share:

Makamu wa Rais Abaini Ubadhirifu wa Milioni 807 Manyara

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameagiza uchunguzi ufanyike kwenye ujenzi wa madarasa na mabweni ya Shule ya Wasichana Nangwa wilayani Hanang’, Manyara kutokana na madai ya kuwapo kwa ubadhirifu wa Sh807 milioni unaodaiwa kufanywa na maofisa wa Wizara ya Elimu. Samia ...
Share:

MC Luvanda Apewa ONYO na Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Anthony Luvanda maarufu kama MC Luvanda kwa kusafiri bila ya ruhusa ya Mahakama. Onyo hilo limetolewa leo Jumatatu Novemba 19, 2018 na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi mbele ya mshtakiwa...
Share:

Mkapa Awasili Uganda Kuwasilisha Ripoti Ya Usuluhishi Ya Mgogoro Wa Burundi Kwa Rais Museveni

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa ambaye ni msuluhishi wa mgogoro wa Burundi akiwa katika chumba cha wageni maalum katika uwanja wa Ndege wa Entebbe leo. kulia ni Mwambata Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda, Brig Gen. Mkumbo, kushoto...
Share:

Trump Amfuta Kazi Mwanasheria Mkuu wa Marekani Jeff Sessions

Mwanasheria Mkuu wa Marekani Jeff Sessions amejiuzulu wadhifa wake, baada ya kuombwa kufanya hivyo na Rais Donald Trump. Trump ametangaza kuondoka kwa Sessions kupitia ukurasa wake wa Twitter leo Alhamis Oktoba 8, akimtakia kila la kheri. Nafasi yake itashikiliwa...
Share:

Spika Ndugai Amzuia Waziri Mkuu Kujibu Swali Linahusu Balozi wa EU Aliyeitwa Nchini Kwao

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemzuia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kujibu swali juu ya kuitwa nchini kwake balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Roeland van de Geer kwa kile alichokisema swali hilo lilikuwa nje ya uwezo wa Serikali. Swali hilo liliwasilishwa bungeni...
Share:

Kigogo wa IPTL Harbinder Sethi Ahojiwa Upya na TAKUKURU

Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai, amedai mahakamani kwamba wamemaliza kumhoji kigogo wa IPTL, Harbinder Sethi baada ya kuomba mahakamani kufanya hivyo. Swai amedai hayo leo Alhamisi Novemba  8, katika...
Share:

Serikali Kuendelea Kufuta Hatimiliki za Mashamba Yaliyotelekezwa

Serikali imeendelea kuchukua hatua za kubatilisha milki za ardhi za mashamba yaliyotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesema Bungeni jana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula  wakati akijibu swali la Mhe. Dustan...
Share:

Msemaji Mkuu wa Serikali: Serikali Itaendelea Kutekeleza Miradi Mikubwa Ya Kimkakati

SERIKALI imesema kamwe haitokatishwa tamaa na kauli ya baadhi ya Viongozi na wanasiasa kuhusu dhamira yake ya kutekeleza miradi mikubwa ya kimamkati yenye malengo ya kuleta maguezi ya kijamii na kiuchumi kwa Watanzania. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi...
Share:

Waziri Mkuu Awaonya Waagizaji Wa Taulo Za Kike....Ni Wale Wanaoziuza Kwa Bei Ya Juu Licha Ya Serikali Kuziondolea Kodi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewatakabaadhi ya waagizaji wa taulo za kike ambao wanaziuza kwa bei ya juu licha ya kufutwa kwa kodi, waache mara moja na Serikali haitasita kuwafutia leseni zao za uagizaji mara watakapogundulika kutotekeleza maelekezo hayo. Waziri Mkuu...
Share:

Serikali Yapiga Marufuku Watumishi Wa Umma Waliohamia Dodoma Kuomba Uhamisho Kurejea Dar Es Salaam

Serikali imepiga marufuku Watumishi wa Umma waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma kwa gharama za Serikali kuomba uhamisho wa kurejea jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro alipokuwa...
Share:

Benki Kuu ya Tanzania Yatangaza kuongeza muda siku sitini (60) wa usimamizi wa Bank M PLC.

Benki Kuu ya Tanzania imeongeza muda wa usimamizi wa Bank M Tanzania Plc (Bank M) kwa siku 60 zaidi kuanzia tarehe 2 Novemba 2018. Kwa mamlaka iliyopewa chini ya kifungu namba 56 (1) (g) (iii) cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006, Benki Kuu ya Tanzania...
Share:

Kamati Ya Bunge Ya Bajeti Yawaalika Wadau Wa Masuala Ya Fedha Kutoa Maoni Kuhusu Muswada Wa Sheria Ya Huduma Ndogo Za Fedha Wa Mwaka 2018

...
Share:

Maandalizi Ya Ujenzi Wa Barabara Ya Njia Sita Ya Ubungo-chalinze

Muonekano wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara mwisho Jijini Dar es salaam hivi leo ambapo tayari maandalizi  ya ule mradi wa ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Ubungo hadi Kibaha Mkoani Pwani yenye urefu wa kilometa 16 umeiva.  Ujenzi wa barabara hiyo...
Share:

Sakata la Mauaji ya Wananchi Kigoma Linalodaiwa Kufanywa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) Laibuka Bungeni

Sakata la vifo vya wananchi na polisi mkoani Kigoma vilivyosababishwa na mgogoro wa ardhi hivi karibuni limeibukia bungeni, ikiwa ni siku chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe kukamatwa na kisha kushtakiwa. Zitto alikamatwa wiki iliyopita...
Share:

Taifa Stars Wakwea Pipa Kuelekea Afrika Kusini Kwa Ajili ya Maandalizi ya Kuikabili Lesotho

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars"  kimeondoka alfajiri ya jana kwenda Afrika Kusini kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Lesotho katikati ya mwezi huu kwa ajili ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani, nchini Cameroon. Kikosi ...
Share:

Teknolojia Mpya Yaanza Kuwaumbua Wabunge Wakorofi Bungeni

Wabunge wasumbufu wanapokuwa ndani ya ukumbi wa Bunge, wamepatiwa mwarobaini baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kusema anaweza kuwaona wabunge wote ukumbinu kupitia kwenye kifaa maalumu kilichofungwa kwenye meza yake. Ndugai alisema hayo bungeni   Dodoma...
Share:

Mbunge CCM amtuhumu Waziri wa Ujenzi kutoa kauli ya kumdharau Waziri Mkuu

Mbunge wa Mafia, Mbaraka Dau (CCM), amemtuhumu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwele, akidai amekiuka agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, la kupeleka Mafia meli iliyotolewa na mfanyabiashara  Said Salim Bakhressa akidai ni maagizo ya kisiasa. Dau ...
Share:

Jeshi la Polisi: Tunaendelea Kumsaka Mpenzi wa Wema Sepetu

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wamesema wanamsaka mwanaume aliyeonekana kwenye mitandao ya kijamii akiwa na msanii Wema Sepetu. Akizungumza leo Jumanne Novemba 6, 2018, Kaimu Kamanda wa Kanda hiyo, Liberatus Sabas amesema polisi wanaendelea kumsaka mwanaume...
Share:

CCM Yawapa Onyo Viongozi Mizigo Uchaguzi Mkuu 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hamphrey Polepole amesema licha ya ushindi mkubwa wanaoendelea kuupata kwenye chaguzi mbalimbali, lakini hawatakua tayari kuwarudisha viongozi mizigo kwa wananchi katika uchaguzi mkuu mwaka 2020. Polepole aliyasema hayo leo Jumanne...
Share:

Polisi Dar Yakamata Silaha Aina ya ShortGun na Watuhumiwa 14 wa Wizi wa Magari

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya Short Gun, risasi nne za short gun na mlipuko moja uliotengenezwa kienyeji. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, LIBERATUS SABAS-DCP ametoa taarifa hiyo mbele ya...
Share:

Watanzania Kufaidi Matunda Ya Reli Ya Kisasa Mwakani.....Waziri Mkuu alidhishwa na kasi ya ujenzi, Asilimia 96 ya walioajiriwa ni Watanzania

MIUNDOMBINU ni muhimu katika maendeleo ya Taifa lolote ambalo linalohitaji kusonga mbele kiuchumi, kijamii kwa sababu husaidia Serikali katika kufanikisha malengo iliyojiwekea. Miundombinu hiyo ambayo inalenga kuboresha na kuimarisha uchumi inajumuisha ujenzi wa...
Share:

IDADI YA WASOMAJI

311651

TUSIKILIZE LIVE KUPITIA TUNEIN

UNGANA NASI FACEBOOK HAPA

10 ZILIZOSOMWA ZAIDI

Labels

Blog Archive