
Na Paulina Juma
KAHAMA.
Raia wa Burundi, EDSON AJUAE (19) jana amehukumiwa kwenda jela mwaka 1 au kulipa faini ya shilingi 500,000 kwa kosa la kuwepo nchini kinyume na sheria ya Uhamiaji. Akitoa hukumu hiyo leo, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya Kahama, IMANI BATENZI...