Events

Jumapili ya Januari 29, 2012, timu nzima ya kahama fm ikiongozwa na DJ RAMMY itafanya shoo ya nguvu  katika ukumbi wa MASABO PIKINIKI, ikiwa ni hatua ya kuhitimisha ziara ya mahewa tour, ilioanza kufanyika Novemba mwaka jana kwa kuzunguka maeneo yote inaposikika redio hii.


Shoo itaanza majira ya saa nane mchana hadi  likwili.Wasanii  na wadau mbalimbali wa redio kahama fm watapewa tuzo na zawadi mbalimbali.


Usikose mtu wangu ni shoo ya nguvu na kiingilio kitakuwa ni sh 1000 kwa watoto na mtu mzima ni sh 2000 tu.

IDADI YA WASOMAJI

TUSIKILIZE LIVE KUPITIA TUNEIN

UNGANA NASI FACEBOOK HAPA

10 ZILIZOSOMWA ZAIDI

Labels