Waziri wa Kilimo Ashuhudia Hafla Ya Utiaji Saini Mikataba Ya Ubanguaji Korosho Tani 7500

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) jana Tarehe 10 Januari 2019 ameshuhudia hafla ya utiaji saini mikataba ya ubanguaji korosho kati ya Bodi ya nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania na wenye viwanda vya ndani. Mkurugenzi wa Bodi ya nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania...
Share:

Naibu Waziri Aweso Atoa Onyo Kali Kwa Mkandarasi Muleba

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ametoa onyo kali kwa Mkandarasi anayefanya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Maji Katoke, Wilaya ya Muleba DC, mkoani Kagera baada kubaini changamoto mbalimbali katika mradi huo. Mradi huo ambao umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi milioni...
Share:

Nguo zinazofanana na sare za JWTZ zanaswa kambi ya wakimbizi Kigoma

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, imekamata nguo zinazofanana za sare za kijeshi katika makambi ya wakimbizi.   Akizungumza na waandishi na kamati hiyo mjini hapa jana Alhamisi Januari 10, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Samson Hanga, alisema...
Share:

Wahukumiwa Miaka 7 Jela Kwa Kuchezesha Upatu na utakatishaji fedha.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Jones Moshi na James Gatuni, kulipa faini ya Sh milioni 204 au kwenda jela miaka saba kwa kosa la kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha. Waliohukumiwa ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Rifaro Africa Ltd, Jones Moshi (42)...
Share:

Ajali ya Hiace Yaua Watu Wawili

Watu  wawili wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Totota Hiace walilokuwa wamepanda kuacha njia na kupinduka. Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, George Kyando, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya alasiri. Aliwataja watu waliofariki katika ajali...
Share:

Lori Laigonga Treni Jijini Dodoma.....Watu Wawili Wajeruhiwa

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya lori aina ya scania walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Iringa kuigonga treni ya mizigo katika makutano ya reli na barabara eneo la hazina jijini Dodoma. Tukio hilo lilitokea jana mchana mara baada ya lori hilo lenye namba...
Share:

Rais Magufuli amtaka Waziri Mpya wa Madini Dotto Biteko kuanzisha vituo vya madini mikoa inayofanya shughuli za uchimbaji

Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Madini, Dotto Biteko kuanzisha vituo vya madini kwenye maeneo yanayozalisha migodi nchini. Alitoa maagizo hayo baada ya kuwaapisha viongozi wapya wa serikali jana  Jumatano, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli alieleza...
Share:

Mzee wa Miaka 80 Auawa na Kunyofolewa Sehemu zake za Siri

Watu wawili wamefariki  dunia mkoani Kagera katika matukio mawili tofauti, likiwamo la mzee mmoja aliyejulikana kwa jina la Laurian Kakoto (80), mkazi wa kijiji cha Ihunga kata Kishanda wilayani Muleba, kukatwa sehemu zake za siri na wahusika kuondoka nazo. Akizungumza...
Share:

Rais Magufuli Akerwa na Viongozi Anaowateua Kuanza Kugombana Badala ya Kufanya Kazi

Rais John Magufuli ameweka wazi kwamba hafurahishwi na migogoro kati ya viongozi anaowateua na kusema kuwa amewaweka kiporo Mkuu wa Wilaya  na Mkurugenzi wake kutokana na matendo yao ya kugombana badala ya kufanya kazi hivyo wasifikiri kwamba hafahamu.   Rais...
Share:

Tume ya Taifa ya Uchaguzi DRC Yamtangaza Mshindi wa Kiti cha Urais...Tazama Hapa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Congo (Ceni) imetangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo yanayoonesha mgombea wa upinzaniFelix Tshisekedi ameshinda kiti cha Urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Desemba 30 mwaka uliopita.   Tshisekedi amemshinda mgombea...
Share:

Waziri Mkuu Kuzindua Mashine 5 za X-ray zilizogharimu Bilioni 2.1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua mashine tano za mionzi (X-ray) za kidigitali katika Hospitali za Rufaa za mikoa mitatu na mbili za wilaya. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika leo, Ijumaa katika Hospitali ya Ruvuma. Mashine zote zimeigharimu serikali...
Share:

Lugola Ampa Siku 7 Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kagera (RCO)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ametoa siku saba kwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kagera (RCO), Obassy Nguvillan, kupeleleza upya kesi ya mama aliyechomewa nyumba katika eneo la Kyakailabwa Kata ya Nyanga, Manispaa ya Bukoba. Lugola ...
Share:

Wamiliki Wa Nyumba za Kupanga Wapewa ONYO

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula, amewaonya baadhi ya watu wanaomiliki nyumba na kuendelea kuwatoza wapangaji wao kodi za miezi sita na mwaka mmoja, kinyume na maelekezo ya serikali, kuheshimu maelekezo hayo. Naibu waziri huyo...
Share:

Lugola Awataka Polisi Watafute Njia Mbadala ya Kuwakamata Bodaboda Badala ya Kuwavizia na Kusababisha Ajali

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amewataka polisi kuja na njia mbadala za kuwakamata madereva bodaboda badala ya kuwavizia kwenye minada na magulio na kusababisha ajali. Lugola amesema hayo jana Jumatano Januari 2, 2019 Bukoba mkoani Kagera katika mkutano wa hadhara. Amesema ...
Share:

Dereva wa Lori la Mafuta Atiwa Mbaroni Kwa Kusafirisha Wahamiaji Haramu Songwe

Dereva wa lori la mafuta  Christopher Kikwete (42) mkazi wa Kibamba Jijini Dar es Salaam anashikiliwa na polisi mkoani Songwe kwa tuhuma za kusafirisha wahamiaji haramu 10 raia wa Ethiopia kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani huo, Mathias Nyange amesema...
Share:

CCM Kuyefyekelea Mbali Majina ya Wagombea Watakaobainika Kutumia Rushwa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally, amesema chama hicho hakitasita kuyakata majina ya wananchama wake ambao watabainika kutumia njia ambazo si halali ili kuhakikisha wanapewa nafasi ya kugombea uongozi kwenye chama hicho.   Dkt Bashiru ametoa...
Share:

Wanaoanza kidato cha kwanza mwaka huu watakiwa kwenda na kiti na meza

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Kayombe Lyoba amewaagiza wazazi na walezi wenye watoto wanaotarajia kujiunga kidato cha kwanza  mwaka huu kuhakikisha wanakwenda na kiti  na meza ili waweze kuingia darasani. Hali hiyo imekuja baada...
Share:

Waziri wa Kilimo: Tanzania ina ziada ya Tani 3,013,515 za mazao ya chakula

Kwa mliganisho wa mahitaji na uzalishaji nchi ina ziada ya tani 3,013,515 na imejitosheleza kwa asilimia 123 na 120 mtawalia ambapo uzalishaji katika msimu wa 2016/2017 na 2015/2016 ulikuwa tani 15,900,864 na 16,172,841 mtawalia ambapo mahitaji ya chakula yanayoendana...
Share:

Waziri wa Nishati autaka Mgodi wa GGM kutumia umeme wa gridi ili walipe kodi stahiki.

WAZIRI Nishati Dk. Medard Kalemani amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa mtambo wa kupoza umeme unaotarajiwa kujengwa Geita, kutawezesha serikali kupeleka umeme wa gridi ya taifa katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mine – GGM) na kuondoa sababu ya wao kutokulipa...
Share:

Tamko La Wizara Ya Afya Kulaani Vitendo Vya Ukatili Wa Watoto Majumbani Ikiwemo Mtoto Kufungiwa Kabatini

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inalaani na kukemea vikali vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoendelea kujitokeza nchini. Vitendo hivi vinafanywa na kuhusisha ndugu na walezi wa karibu wa wataoto hivyo kuzua hofu kubwa kwa watoto na...
Share:

Naibu Waziri Shonza Awataka Wasanii Kujijengea Tabia Ya Kujiwekea Akiba

Naibu waziri wa Habarui, sanaa utamaduni na michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka wasanii wa Injili kjijengea tabia ya kujiwekea akiba ili punde wapatapo matatizo waweze kuyatatua kwa urahisi. Ameyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akizindua mfuko wa Tagoane LoanFund...
Share:

IDADI YA WASOMAJI

311639

TUSIKILIZE LIVE KUPITIA TUNEIN

UNGANA NASI FACEBOOK HAPA

10 ZILIZOSOMWA ZAIDI

Labels